Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi rasmi Umoja wa vikundi vya Wanawake Mbagala (UWAMBA) katika sherehe iliyofanyika kwenye ukumbi wa Dar Live
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akizindua nembo wakati wa uzinduzi rasmi Umoja wa vikundi vya Wanawake Mbagala (UWAMBA) katika sherehe iliyofanyika kwenye ukumbi wa Dar Live
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete akimkabidhi komputa Mwenyekiti wa UWAMBA, Zenna Hanga kwa ajili ya matumizi ya ofisi ya UWAMBA mara tu baada ya kuzindua rasmi Umoja huo huko Mbagala
Mwenyekiti wa WAMA na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisaidiana na Mama Tabu Likoko kutoka WAMA, wakimkabidhi Mwenyekiti wa UWAMBA, Mama Zenna Hanga moja ya charahani walizozitoa kwa umoja huo wakati wa sherehe za uzinduzi huko Mbagala. Picha na John Lukuwi
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...