Mkurugenzi wa Tanzania Homes Expo, Zenno Ngowi akizungumza na waandishi (hawapo pichani) jijini Dar es salaam leo kuhusu Uzinduzi wa maonesho ya 4 ya Tanzania Homes Expo na EAG Group Ltd yatakayofanyika Dar es Salaam kuanzia Agosti 23-24 mwaka huu. Kushoto ni Meneja Biashara,Mathew Gugai. (Picha Francis Dande)
Home
Unlabelled
maonesho ya 4 ya Tanzania Homes Expo kuanza Agosti 23 - 24,2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...