Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akiongea kwa uchungu kufuatia kukamatwa hivi karibuni katika Vijiji vya Kiyombo kilichopo Wilaya ya Sikonge Mkoani Tabora na Kijiji caha Chinangali Kilichopo Wiliaya Chamwino Mkoani Dodoma hivi karibuni.
  Mkuu wa Kitengo cha Hima Sheria Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro, Robert Mande (wapili kulia) akimwonyesha Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu Bunduli iliyokamtwa pamoja na meno ya Tembo katika kituo cha Kikosi dhidi ya  Ujangili  (KDU) cha Kanda ya Kati,  kjilichopo Wilaya ya Manyoni Mkoani Singida juzi, yaliyokamtwa hivi karibuni katika Vijiji vya Kiyombo kilichopo Wilaya ya Sikonge Mkoani Tabora na Kijiji caha Chinangali Kilichopo Wiliaya Chamwino Mkoani Dodoma hivi karibuni.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro (wapili kushoto) na Mkuu wa Wilaya Mayoni Mkoani Singida, Fatma Toufiq (kushoto) wakiangalia meno ya Tembo katika kituo cha Kikosi dhidi ya Ujangili (KDU) cha Kanda ya Kati, kjilichopo Wilaya hiyo juzi, yaliyokamtwa hivi karibuni katika Vijiji vya Kiyombo kilichopo Wilaya ya Sikonge Mkoani Tabora na Kijiji caha Chinangali Kilichopo Wiliaya Chamwino Mkoani Dodoma hivi karibuni. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Hima Sheria Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro, Robert Mande.
Mkuu wa Kitengo cha Hima Sheria Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro, Robert Mande (wapili kushoto) akimwonyesha Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu meno ya Tembo katika kituo cha Kikosi dhidi ya Ujangili (KDU) cha Kanda ya Kati, kjilichopo Wilaya ya Manyoni Mkoani Singida juzi, yaliyokamtwa hivi karibuni katika Kijiji vya Kiyombo kilichopo Wilaya ya Sikonge Mkoani Tabora na Kijiji caha Chinangali Kilichopo Wiliaya Chamwino Mkoani Dodoma hivi karibuni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mheshimiwa Waziri suti zako kali ila kama unaweza kupromote wabunifu wa kitanzania ili siku mojamoja uwe unatupia vitu made in Tanzania.

    ReplyDelete
  2. Watie kamba

    ReplyDelete
  3. Tunahitaji sheria mpya dhidi ya wahalifu hawa. Huu ni uuwaji, watakao kamatwa wapatiwe kifungo cha maisha au hata kifo. Wanaouwa wanyama wetu wanajulika!

    Mgaibuni

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...