Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea risala toka kwa Katibu wa Jumuiya ya Watanzania waishio Uingereza Bi Mariam Mungula alipokuwa London kwa ziara ya kiserikali kwa mwaliko wa Waziri Mkuu wa uingereza Mhe David Cameron. Risala hiyo inasomeka hapa chini...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Hongereni watanzania wa UK hotuba nzuri Sana. IMekuwa vizuri mumeitumia fursa hoi kumuomba Raisin alipigie debt suala la aria pasha. Na sababu mlizotoa zote ni za manufaa Sana.

    ReplyDelete
  2. Kwa kweli risala imeandaliwa kiuhakika. Ukitumia Lugha yetu hata wasiojua Kiingereza wataelewa. Hongereni sana munaonekana kuwa na malengo mazuri sana. Mungu abariki lengo lenu lifanikiwe.

    ReplyDelete
  3. Risala ni nzuri ila wamechapia wanaposema sio wote wabeba mabox...hili ni jina lililotokana na globu yetu ya jamii kwa mtu yeyote anaeishi ughaibuni bila kujali wewe ni daktari,mwanasayansi au accountant....globu ya jamii ilitoa kama msamiati wake tu kwa mtu aishiye ughaibuni na nyie mnaingia mkenge mnatofautisha nini sasa???...ni sawa na msamiati mwingine wa walamba vumbi ukimaanisha mtu anaeishi bongo but halambi vumbi..kuna watu bongo full AC kutoka home kwa gari hadi kwa ofisi na hali yake ni njema but kwa vile still yuko bongo huyo ni mlamba vumbi ....hapa mmejichanganya sana na hotuba yenu.
    mdau wa DMV

    ReplyDelete
  4. Nje ya mada kidogo blog ya jamii.MSAADA TUTANI kwa wadau wa UK na wengine wenye kuelewa.Nataka kufanya U(ma)nunuzi kwenye huu mtandao wa www.ebay.co.uk.Ni mtandao salama au naweza 'kuingizwa mjini'?Naomba msaada wenu

    David V

    ReplyDelete
  5. Hongereni sana wanaUK hotuba yenu imetulia na kwa Kiswahili kinaeleweka , bora hamukuweka mambo mengi ya kumsifia Rais mmeangalie lenu la Uraia pacha. laba Mkuu atawasaidia.

    ReplyDelete
  6. David V. Ebay iko pouwa. Lakini kama hauko ndani ya UK nakushauri utafute address ya delivery in Uk maana wengine wakiona uko nje ya nchi wanakuchezea na mzigo umeshaulipia unaletewa kitu sicho na kudai pesa paypal process ndefu. NA USILIPE PESA NJE YA PAYPAL muhimu sana hiyo.

    ReplyDelete
  7. Hongera sana hotuba imetulia tuko pamoja wana wa UK

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...