Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Mtu kama huyu ambaye anaweka uhai wake matatani kuokoa uhai wa mtu mwingine anastahili pongezi za hali ya juu. Unastahili kuitwa mheshimiwa, no joke

    ReplyDelete
  2. shujaa kivipi?hebu toa maelezo manake ktk whatsapp leo hizo picho zimezagaa kuliko njugu ila hazina maelezo.mm nimesema dada amebebwa baada ya kukubaliana bei na huyo kaka.kufika katikati ya safari kaka kaongeza bei ila dada kakataa ndio akamwagwa.ilikua vyema hiyo picha ya chini iwe juu na ya juu ije chini.

    ReplyDelete
  3. Kama maelezo ya anonymous 2 ni kweli, hii inaonesha jinsi gani Tanganyika imani ilivyopotea. Mara kuuwa vikongwe, mara albino n.k
    Poleni sana

    ReplyDelete
  4. Indeed sad. Utu sijui uko wapi watanzania. Kutoka 2000 mpaka 10000 kweli. Kama hutaki si useme angempata mwingine wa kumvusha. Poor her!

    ReplyDelete
  5. Namuunga mkono huyo Anonymous No2 japo juu. Hiyo Picha ya chini jamaa amembeba mwanamke nguo hazijaroana. Katikati ya safari inaonyeshaa jamaa kambwaga passinger wake kwenye maji na hii inaonyesha katika picha no.1

    ReplyDelete
  6. lakini mbona jamaa wa picha ya tatu ni tofauti na hao wa picha ya pili na ya kwanza? hebu chekini kwanza kabla hamjaunganisha story za ajabuu

    ReplyDelete
  7. Tujenge mitaro na kufungua njia za maji ya mvua kama hatutaki maafa kama haya.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...