Home
Unlabelled
shujaa wa mvua dar es salaam
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mtu kama huyu ambaye anaweka uhai wake matatani kuokoa uhai wa mtu mwingine anastahili pongezi za hali ya juu. Unastahili kuitwa mheshimiwa, no joke
ReplyDeleteshujaa kivipi?hebu toa maelezo manake ktk whatsapp leo hizo picho zimezagaa kuliko njugu ila hazina maelezo.mm nimesema dada amebebwa baada ya kukubaliana bei na huyo kaka.kufika katikati ya safari kaka kaongeza bei ila dada kakataa ndio akamwagwa.ilikua vyema hiyo picha ya chini iwe juu na ya juu ije chini.
ReplyDeleteKama maelezo ya anonymous 2 ni kweli, hii inaonesha jinsi gani Tanganyika imani ilivyopotea. Mara kuuwa vikongwe, mara albino n.k
ReplyDeletePoleni sana
Indeed sad. Utu sijui uko wapi watanzania. Kutoka 2000 mpaka 10000 kweli. Kama hutaki si useme angempata mwingine wa kumvusha. Poor her!
ReplyDeleteNamuunga mkono huyo Anonymous No2 japo juu. Hiyo Picha ya chini jamaa amembeba mwanamke nguo hazijaroana. Katikati ya safari inaonyeshaa jamaa kambwaga passinger wake kwenye maji na hii inaonyesha katika picha no.1
ReplyDeletelakini mbona jamaa wa picha ya tatu ni tofauti na hao wa picha ya pili na ya kwanza? hebu chekini kwanza kabla hamjaunganisha story za ajabuu
ReplyDeleteTujenge mitaro na kufungua njia za maji ya mvua kama hatutaki maafa kama haya.
ReplyDelete