Mhe. Mchungaji Peter Msigwa akiwasilisha maoni ya walio wachache katika Bunge la Katiba linaloendelea Mjini Dodoma.
Mhe. Andrew Chenge akisimama na kumfahamisha Mwenyekiti wa Bunge la Katiba kuwa nakala anayosoma Mchungaji Peter Msigwa ni tofauti na nakala walizonazo wabunge.
Mchungaji Peter Msigwa akisisitiza kuwa anayosoma ni nakala halisi.
Muwakilishi wa Kamati namba nne Katika Bunge la Katiba,Dkt. Hamis Kigwangala akiwasilisha mapendekezpo ya kamati yake.
Mh. Agustino Mrema akijadiliana jambo na Mhe.Aggrey Mwanri.
Mh. Tundu Lissu akiwasilisha mapendekezo ya walio wachache kamati namba nne.
Baadhi ya Wabunge wa Bunge Maalum la Katiba wakiwa wamesimama na kupiga kelele mara baada ya Dkt. Francis Michael kuanza kuwasilisha maoni katika kamati yake wakidai alikuwa anawasilisha ndivyo sivyo walivyoyatoa wao.Picha na Deusdedit Moshi.
picha hazisaidie sana bwana michuzi weka maneno kwenye youtube utume
ReplyDeleteThe mdudu,tunahitaji serikali 3 coz hizi serikali mbili zimeshindwa kuwanufaisha wananchi walio wengi ila kwa viongozi ndio wanaonufaika na hii nchi na wafanya biashara mapapa ndio wanao neemeka coz haiingii akilini wafanyabiashara wakubwa wawe wabunge yaani anachota huku na kule so tunahitaji serikali 3 ili tuyakomeshe haya maswala.
ReplyDelete
ReplyDeleteAnonymous said...
The mdudu,tunahitaji serikali 3 coz hizi serikali mbili zimeshindwa kuwanufaisha wananchi walio wengi ila kwa viongozi ndio wanaonufaika na hii nchi na wafanya biashara mapapa ndio wanao neemeka coz haiingii akilini wafanyabiashara wakubwa wawe wabunge yaani anachota huku na kule so tunahitaji serikali 3 ili tuyakomeshe haya maswala.
April 12, 2014
===================================
NOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO!
Kila mtua aende kwake tukutane EAC basi za nini hizo tatu? kama imeshindikana moja BAAAAAAAAAAAAAAAASIIIIIIIIIII!. Una uhakika gani kuwa zikiwa tatu haitakuwa hivyo. Hapo watu nwanataka kugawana vyeo wale kodi zetu hatutaki