Vijana wa Temeke wameungana na kuunda kundi linaloitwa Temeke Family & Sports Club , Pichani wanaonekana viongozi wa kikundi hicho wakiwa na Mlezi wao ni Ndg. Phares Magesa ( MNEC) wakibadilishana mawazo namna ya kufanikisha tamasha kubwa la wanamichezo litakalofanyika tarehe 4 Mei, 2014 katika ukumbi wa Dar live Mbagala na linatarajiwa kuhudhuriwa na vikundi zaidi ya 50 vya vijana na wanamichezo.
Home
Unlabelled
TEMEKE FAMILY & SPORTS CLUB KUANDAA TAMASHA 4 MEI DAR LIVE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...