![]() |
Afisa Mawasiliano Serikalini wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Frank Shija akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wachezaji wa timu ya watoto wa mitaani |
Mwenyekiti wa Timu ya watoto wa mitaani ya
jijini Mwanza Alfat Mansoor (Dogo) akizungumza na waandishi wa habari mara
baada ya timu hiyo kuwasili uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jana
jijini Dar es Salaam.
Mchezaji aliyesabibisha timu ya watoto wa
mitaani kutoka Tanzania kuibuka mabingwa wa Dunia kw kufunga magoli matatu kwa
mojadhidi ya Burundi Frank William(mwenye kofia nyekundu) akiwa na baadhi ya
wachezaji wenzake mara baada ya juwasili airport,kushoto ni Hassan
Jaffar,Emmanuel Amos, na Hassan Seleman.
Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Michezo Bi.
Juliana Yassoda akiwa amebeba kombe la ubingwa dunia mara baada ya kupokea timu
ya watoto wa mitaani kutoka Tanzania iliyochukua ubingwa huo kwa kuifunga timu
kutoka Burundi jumla ya magoli 3-0. Timu hiyo imewasili nchini jana majira ya
saa 9:35 mchana na kulakiwa na uongozi wa Serikali na wadau mbalimbali wa soka.
Wachezaji wa timu ya watoto wa mitaani ya
Tanzania ilyo nyakuwa ubingwa wa dunia katika mashindano yaliyofanyika nchini
Brazil kwa kushirikisha timu za watoto wa mitaani, wakiwa wamebeba makombe
waliyoyapa katika mashindano hayo. Picha na Frank Shija - MAELEZO.
Hongera Tanzania!!!!
ReplyDeleteKikwete oyeeeeeeeee!
Jezi yaop kali sana Bluuuuu !
ReplyDelete(Ankali na watu wako wa Liverpool na Man U msije kmasema ohhh Chelsea, hiyo ni Tanzania)