Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano),Mhe. Samia Suluhu Hassan (wa pili kulia) akihutubia Mkutano wa Mawaziri na Wadau wa Ziwa Tanganyika. Mhe Waziri Samia amezishauri nchi Wanachama zilizo katika Bonde la Ziwa Tanganyika kuunganisha nguvu zao kulinda Ziwa Tanganyika kwa manufaa ya kiuchumi na kiusalama ya nchi hizo. Kikao cha Wadau wa Ziwa Tanganyika kimefanyika leo Bujumbura katika Hoteli ya Ziwa Tanganyika.
Home
Unlabelled
WAZIRI SAMIA SULUHU HASSAN ABAINISHA UMUHIMU WA ZIWA TANGANYIKA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Huyo anatumia lugha ya picha. Anamaanisha msisitizo kuhusu umuhimu wa serikali ya Tanganyika.
ReplyDeleteNikweli mdau wa kwanza wala si uongo....kiswahili ukikijua hutogombana na watu na wala hutoonekana mbaya......hahahaha...ujumbe umewasilishwa bila jasho wala kuchafua hewa.......
ReplyDeleteWadau wa Kwanza na wa Pili hapo juu:
ReplyDeleteZiwa Tanganyika haliwezi kuwa linaelea hewani (zingatieni Kanuni za Sayansi na Fizikia)LA MUHIMU NI LAZIMA WATU WAELEWE YA KUWA ZIWA TANGANYIKA HALIWEZI KUWA LINAELEA HEWANI (ISIWE KAMA HADITHI YA ABUNUWASI) BALI ''ZIWA TANGANYIKA'' LIPO NDANI YA NCHI INAYOITWA ''JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA''!