Waziri wa Ujenzi, John Magufuli akisoma bajeti ya Wizara hiyo bungeni mjini Dodoma Mei 21, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wabunge kutoka bunge la Uganda , Ssentongo Theopista Nabulya (kushoto) na Dr. Chris Baryomunsi, ofisini kwake bungeni mjini Dodoma Mei 21, 2014.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, William Lukuvi akisalimiana na ujumbe wa wabunge kutoka Bunge la Uganda, ofisini kwake bungeni mjini Dodoma Mei 21, 2014. Kutoka kushoto ni Ssentongo Theopista Nabulya, Mchambuzi wa Masuala ya Sera wa Bunge la Uganda (Policy Anallyst , Parliament of Uganda) na Dr. Chris Baryomunsi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...