Tarehe
29 April, Bongo5 Media Group ilizindua rasmi tuzo za watu Tanzania kwa mwaka
2014. Uzinduzi huo ulienda sambamba na kuanza rasmi kwa mchakato wa kupendekeza
majina yatakayoingia kwenye tuzo za mwaka huu. Wananchi walishiriki kupiga kura
kupitia njia ya mtandao kwenye tovuti ya www.tuzozetu.com, na kwa njia ya
ujumbe mfupi wa simu za mkononi.
Awamu
ya kwanza ya upigaji kura iliyodumu kwa wiki mbili na siku kadhaa imekua ikikusanya
majina matano kwenye kila kipengele kama ifuatavyo: BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...