Awali ya yote tunapenda kuwaomba radhi wadau wetu kwa usumbufu uliojitokeza wa kutokuwepo hewani kwa zaidi ya siku 6 sasa hii ni kutokana na matatizo ya kiufundi ambayo yamejitokeza katika Francis Godwin Blog na Matukiodaimablog hazipo hewani kutokana na matatizo hayo ya kiufundi japo yanaendelea kushughulikiwa .
Hivyo tunaomba wadau wetu kwa sasa mnaweza kupata habari na matukio mbali mbali katika mitandao hii
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...