![]() |
Mlezi wa chama cha Chawakama na mwalimu wa kiswahili chuo kikuu cha Iringa Tulla Tweve akitambulisha wageni |
![]() |
Mmoja kati ya viongozi akieleza malengo ya Chawakama |
![]() |
Mwalimu Chalamila akieleza maana ya lugha ya kiswahili |
![]() |
Mwalimu wa kiswahili chuo cha Iringa ambae ni msanii wa wimbo wa Mufindi yetu akiburudisha |
![]() |
Wanachama wakicheza na msanii huyo. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...