Msanii Nasibu Abdul alias 'Diamond Platnumz' kwa sasa anakimbiza katika mchakato wa upigaji kura katika Tuzo za BET 2014 ambapo mpaka saa 10:55 leo jioni alikuwa anaongoza katika kundi lake akiwa na asilimia 75.79 ya kura zote akifuatiwa na Mafikizolo wenye kura asilimia 8.34. na wengine kama jedwali linavyoonesha hapo chini. Tuzo hizo zitatolewa Juni 29 mwaka huu jijini Los Angeles, Marekani. 
Kisha telemka chini hadi utapokuta "BEST INTERNATIONAL ACT: AFRICA" bofya tundu lenye jina lake kisha bofya "VOTE"... kitu na boxi!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 19, 2014

    Nafikiri hizi sio official vote Ni radio wanatizama muelekeo wa vote

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 19, 2014

    Ame vaa "KI-TOP"?

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 19, 2014

    hii ni ya redio station hizi kura, taguta habari zaidi toka BET juu ya kama kuna kura zinapigwaje

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 19, 2014

    Safi sana! Tuendelee kumpigia kura kijana wetu awakilishe BET na kufungua milango ya wanamuziki wa Tanzania

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 19, 2014

    Nimeshapiga kura yangu naelekea nyumbani sasa baada ya msururu mrefu(Utani).

    David V

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 20, 2014

    hii wala haina uhusiano na BET mtashangaa Diamond atakosa kura nyingi za watanzania kutokana na wengi kuamni hii ndo real site

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 20, 2014

    Mm nashindwa elewa kabisaaa na hawa mawaziri wetu wa sanaa na michezo, hili swala la diamond kufika BET ni sifa ya Tanzania wanatakiwa wampongeze na sio kukaa kimya kama vile hawajui kinachoendelea, hata kuwaambia watu wapige kura wanashindwa, lol..shame on you guys. .

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 20, 2014

    wa togo wanapiga kura kwa kasi sana. sasa hivi Toofan atampiku diamond kama kasi ya watz itapungua. watch out.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 17, 2014

    dah tutashukuru kama ss wasafi tutachukua tuzo zetu BET

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...