Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 23, 2014

    Huyu mdada, pye pye pye nyingi, dawa yake ndogo tu, mpe Mume jabali dume la mbegu, atakuwa kimyaaa!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 24, 2014

    Mie anachoniachaga hoi huyu dada ni hii lugha anayooiongea......inafanana fanana na kingereza lakini si kingereza sijui ni lugha gani.....????

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 26, 2014

    mmh, inafanana na kiingereza lakini sio kiingereza, ila nini basi?

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 26, 2014

    "Huyu mdada, pye pye pye nyingi, dawa yake ndogo tu, mpe Mume jabali dume la mbegu, atakuwa kimyaaa!"

    Mwenzio yupo kazini wewe unaongelea kumyamazisha, loooh! kwa taarifa yako,, mchumba wake yuko so much proud of her!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...