Home
Unlabelled
Everyone is a boss at their work place - Kansiime Anne
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huyu mdada, pye pye pye nyingi, dawa yake ndogo tu, mpe Mume jabali dume la mbegu, atakuwa kimyaaa!
ReplyDeleteMie anachoniachaga hoi huyu dada ni hii lugha anayooiongea......inafanana fanana na kingereza lakini si kingereza sijui ni lugha gani.....????
ReplyDeletemmh, inafanana na kiingereza lakini sio kiingereza, ila nini basi?
ReplyDelete"Huyu mdada, pye pye pye nyingi, dawa yake ndogo tu, mpe Mume jabali dume la mbegu, atakuwa kimyaaa!"
ReplyDeleteMwenzio yupo kazini wewe unaongelea kumyamazisha, loooh! kwa taarifa yako,, mchumba wake yuko so much proud of her!