“Ni kwa masikitiko makubwa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa (ya Malawi) unauarifu umma kufariki dunia kwa Balozi Flossy Gomile-Chidyaonga baada ya kuugua kwa muda mfupi jijini Dar es salaam mchana huu”, imesema taarifa iliyotolewa na msemaji wa Wizara hiyo Quent Kalichero.

“Tangu mwaka 2006 Marehemu Bi Flossy Gomile-Chidyaonga alikuwa Naibu Balozi wa Malawi London kabla ya kuteuliwa kuwa Balozi wa Malawi nchini Tanzania mnamo Septemba mwaka 2011”, imesema taarifa hiyo na kuongezea kuwa taratibu za mazishi zitatangazwa baada ya taratibu kukamilika.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 09, 2014

    My prayers go out to her family. Our condolences, may she rest in peace

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 09, 2014

    The mdudu,huu msiba umetugusa watanzania wote ndugu zangu watanzania hakuna majirani wastaarabu kama hao Malawi,wana utofauti mkubwa na majirani wengine mfano Kenya hawa watu wanatuchukia pasipo na sababu za msingi na mm nasema toka moyoni mwangu nawachukia kama wanavyotuchukia,Rwanda hawa huku UK walikua wananiulizaga hivi nyie Tanzania mnajeshi la kupigana na sisi? Bahati nzuri nikaja kusikia tunapeleka jeshi letu kongo kwaajiri ya kuwatoa M23 hapo ndio nikaanza kuwatafuta nakuaambia nawaombeni muwe mnafatilia kuhusu M23 tunaenda kuwatoa mkuku,baada ya kusambaratisha kilichofuata wao na mm paka na panya na mm kijeuri natembea kwa mikogo,Uganda na Burundi ndio kabisa sina la kusema bora niishie hapo,ila sinabudi ya kusema pongezi kwa jeshi langu JWTZ.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 10, 2014

    The Mdudu wa UK,

    Waeleze walichokiona Maraisi wao katika Maonyesho ya Majeshi ya Tanzania JWTZ kwenye Sherehe za Miaka 50 ya Muungano.

    Hao Waganda na Warwanda wa huo UK nadhani hawakuwepo wakati Tanzania inaipiga Uganda kumtoa Amini mwaka 1978-79.

    Waambie Tanzania tuna matatizo machache kwenye uendeshaji wa mambo yetu ambayo yanawezekana kutatuliwa lakini sio upungufu wa uwezo wa MAJESHI!!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 10, 2014

    Wachanganye majeshi yao yoote ya nchi zao ndio waje wapigana na jwtz.hii ni North korea ya east africa.wameona wakati wa maadhimisho ya muungano.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...