“Ni kwa masikitiko makubwa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa (ya Malawi) unauarifu umma kufariki dunia kwa Balozi Flossy
Gomile-Chidyaonga baada ya kuugua kwa muda mfupi jijini Dar es salaam mchana
huu”, imesema taarifa iliyotolewa na msemaji wa Wizara hiyo Quent Kalichero.
“Tangu mwaka 2006 Marehemu Bi Flossy Gomile-Chidyaonga alikuwa
Naibu Balozi wa Malawi London kabla ya kuteuliwa kuwa Balozi wa Malawi nchini
Tanzania mnamo Septemba mwaka 2011”, imesema taarifa hiyo na kuongezea kuwa
taratibu za mazishi zitatangazwa baada ya taratibu kukamilika.
My prayers go out to her family. Our condolences, may she rest in peace
ReplyDeleteThe mdudu,huu msiba umetugusa watanzania wote ndugu zangu watanzania hakuna majirani wastaarabu kama hao Malawi,wana utofauti mkubwa na majirani wengine mfano Kenya hawa watu wanatuchukia pasipo na sababu za msingi na mm nasema toka moyoni mwangu nawachukia kama wanavyotuchukia,Rwanda hawa huku UK walikua wananiulizaga hivi nyie Tanzania mnajeshi la kupigana na sisi? Bahati nzuri nikaja kusikia tunapeleka jeshi letu kongo kwaajiri ya kuwatoa M23 hapo ndio nikaanza kuwatafuta nakuaambia nawaombeni muwe mnafatilia kuhusu M23 tunaenda kuwatoa mkuku,baada ya kusambaratisha kilichofuata wao na mm paka na panya na mm kijeuri natembea kwa mikogo,Uganda na Burundi ndio kabisa sina la kusema bora niishie hapo,ila sinabudi ya kusema pongezi kwa jeshi langu JWTZ.
ReplyDeleteThe Mdudu wa UK,
ReplyDeleteWaeleze walichokiona Maraisi wao katika Maonyesho ya Majeshi ya Tanzania JWTZ kwenye Sherehe za Miaka 50 ya Muungano.
Hao Waganda na Warwanda wa huo UK nadhani hawakuwepo wakati Tanzania inaipiga Uganda kumtoa Amini mwaka 1978-79.
Waambie Tanzania tuna matatizo machache kwenye uendeshaji wa mambo yetu ambayo yanawezekana kutatuliwa lakini sio upungufu wa uwezo wa MAJESHI!!!
Wachanganye majeshi yao yoote ya nchi zao ndio waje wapigana na jwtz.hii ni North korea ya east africa.wameona wakati wa maadhimisho ya muungano.
ReplyDelete