Kamera yetu leo inakuletea Taswira hii ya kikwangua anga kinachoibuka kwa kasi kando kando ya mto unaokatiza bonde la Jangwani na barabara ya Morogoro rodi,jijini Dar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 06, 2014

    Msingi wake ni imara au?

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 06, 2014

    Hii sehemu ni salama kweli kuinua kikwangua anga?

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 06, 2014

    huwa nasema kupata akili ya pesa siyo lazima upewe na akili ya kuitumia vizuri.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 06, 2014

    Anaejenga hapo amejitathmini? Nafikiri mafuriko yaliyopita mara mbili hapo jangwaji yametukumbusha! Yeye je!!!!!!!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 06, 2014

    Hali ya uchafu inatisha. Ulitaka kuonesha kikwangua anga au uchafu ulioko pembeni?

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 06, 2014

    SASA HAPA ASIYE NA AKILI NI YUPI???MWENYE PESA AU MWENYE TAALUMA??

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 08, 2014

    Bongo Tambarale !

    Ghrofa inapanda taratiiibu ndani ya Magomeni Mapipa upande wa pili kutazamana na kwa Macheni!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...