Home
Unlabelled
KIKWANGUA ANGA KANDO KANDO YA MTO UNAOKATIZA BONDE LA JANGWANI JIJINI DAR
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Msingi wake ni imara au?
ReplyDeleteHii sehemu ni salama kweli kuinua kikwangua anga?
ReplyDeletehuwa nasema kupata akili ya pesa siyo lazima upewe na akili ya kuitumia vizuri.
ReplyDeleteAnaejenga hapo amejitathmini? Nafikiri mafuriko yaliyopita mara mbili hapo jangwaji yametukumbusha! Yeye je!!!!!!!!
ReplyDeleteHali ya uchafu inatisha. Ulitaka kuonesha kikwangua anga au uchafu ulioko pembeni?
ReplyDeleteSASA HAPA ASIYE NA AKILI NI YUPI???MWENYE PESA AU MWENYE TAALUMA??
ReplyDeleteBongo Tambarale !
ReplyDeleteGhrofa inapanda taratiiibu ndani ya Magomeni Mapipa upande wa pili kutazamana na kwa Macheni!