Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mbunge wa Bukoba Mjini, Balozi Khamis Kagasheki kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Mei 28, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wabunge wa Viti Maalum kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Mei 28, 2014. Kutoka kushoto Josephine Chagulla, Esther Midimu, Christowaja Mtinda na Naomi Kaihula. (Picha na Ofisi yaWaziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 29, 2014

    Picha ya kwanza juu, hadhira imepatwa na butwaa kulikoni??kama vile hawakutegemea kitu flani kutokea machoni mwao au hawaamini wanachokiona.....ama kweli.....

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 29, 2014

    Viti maalumu naona kama hawana mchango wowote kwa taifa hili, ni politics tu zimewaweka pale ili ku-justify mambo fulani mbele ya uso wa dunia ya kijinsia.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...