Waziri wa Kazi na Ajira,Mh. Gaudencia Kabaka akihutubia wakati wa Kufunga Mkutano wa nne wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ulioambatana na Maadhimisho ya Miaka 50 ya NPF-NSSF uliomalizika jioni ya leo,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali na Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini,Mh. Zitto Kabwe akiwasilisha mada yake iliyohusu Umuhimu wa Mifuko ya Hifadhi za Jamii kwa Sekta zisizo rasmi wakati wa Mkutano wa nne wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ulioambatana na Maadhimisho ya Miaka 50 ya NPF-NSSF unaoendelea,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
Bi. Faustina Nti kutoka nchini Ghana akiwasilisha Mada yake yenye kueleza uzoefu wa utoaji wa Huduma katika Mifuko ya Hifadhi za Jamii katika nchi ya Ghana.Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crescentius Magori akijibu moja ya maswali yaliyoulizwa na Wadau kwenye Mkutano wa nne wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) unaoambatana na Maadhimisho ya Miaka 50 ya NPF-NSSF uliomalizika leo,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
Mwenyekiti Mpya wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Mifuko ya Hifadhi za Jamii (SSRA),Juma Ally Muhimbi akichangia mada kwenye Mkutano wa nne wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) unaoambatana na Maadhimisho ya Miaka 50 ya NPF-NSSF unaofanyika,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crescentius Magori akielekeza jambo wa Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano na Mawasiliano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Bi Eunice Chiume wakati wa Mkutano huo unaendelea kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC,Jijini Arusha.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...