Wakazi
wa mji wa Moshi wakifuatilia tamasha la kwanza la ‘Kilimanjaro Music
Tour 2014’ lililofanyika katika Viwanja vya Chuo Shirikishi cha Ushirika
na Biashara (MUCCOBs). Kilimanjaro Music Tour inadhaminiwa na Bia ya
Kilimanjaro Premium Lager.
Msanii
wa Muziki wa Kizazi Kipya, Kala Jeremiah akifanya vitu vyake wakati wa
tamasha la kwanza la ‘Kilimanjaro Music Tour 2014’ lililofanyika katika
Viwanja vya Chuo Shirikishi cha Ushirika na Biashara (MUCCOBs).
Kilimanjaro Music Tour inadhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Msanii
wa Muziki wa Kizazi Kipya, Ney wa Mitego akitoa burudani ya aina yake
wakati wa tamasha la kwanza la ‘Kilimanjaro Music Tour 2014’
lililofanyika katika Viwanja vya Chuo Shirikishi cha Ushirika na
Biashara (MUCCOBs). Kilimanjaro Music Tour inadhaminiwa na Bia ya
Kilimanjaro Premium Lager.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...