Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania,Fombo Butallah (kulia) akizongea na waandishi wa habari jijini Dar es salaam leo wakati akizingumzia ushindi wa tuzo ya Dhahabu (Monde Selectiaon) ulioipata Bia ya Ndovu Special Malt katika mashindano ya Bia kutoka makampuni mbali mbali Duniani,yaliyofanyika nchini Ufaransa hivi karibuni.Kulia ni Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt,Pamella Kikuli.
Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt,Pamella Kikuli akielezea namna mashindano hayo ya Bia yalivyoendeshwa na mpaka bia yake kupata tuzo hizo hiyo.
Hulaaika hummul khasirun,hum khalidduna fihha wa abadan
ReplyDelete