MDAU KUTOKA ZANZIBAR AMETULETEA TASWIRA HII YA MNAZI MOJA WENYE MITI MITATU YA MATUNDA ULIOJAALIWA NA MOLA,KAMA TUJUAVYO MWENYEZI MUNGU HASHINDWI NA ATAKAVYO HUU MNAZI UNAZAA KATIKA MATAWI YOTE KAMA UNAVYOONEKANA BILA YA KUONESHA UPUNGUFU KATIKA KILA TAWI.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 15, 2014

    MATAWI MAWILI YALIYO PEMBENI YANACHANGIA KWENYE TAWI LA KATIKATI KWA UAMINIFU NDIYO SABABU YAMEWEZA KUDUMU MPAKA SASA, IWEJE TANGANYIKA ISIWEZE KUWA NA UAMINIFU HUO WAKATI ZANZIBAR IMEWEZA KUWA MWAMINIFU KWA KIPINDI CHA MIAKA HAMSINI?

    chirwa,dsm

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 15, 2014

    hee watanzania kila tukio wanalitafsiri kisiasa

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 15, 2014

    SERIKALI TATU ZINAWEZA KUSTAWI BILA SHIDA YOYOTE KWA UWEZO WA MWENYENZI MUNGU

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...