Home
Unlabelled
TASWIRA ZA JIJI LA DAR KUTOKEA BAHARI YA HINDI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Haya sasa siku zijazo utuletee taswira ya jiji kwa kutokea nchi kavu na hasa maeneo ya buguruni, kigogo, manzese,tandale , msasani, vingunguti,kawe,mwananyala....japo kwa uchache ili tuweze kufanya tahmini ............na hatimae kuweza kuweka nguvu ktk lile suala letu la raia pacha......hahahahahaha....duh hapa nimegusa nyonga maana tushaanza kusahau.....umepita ukimya kidogo.....
ReplyDeleteWabongo bwana....! Kizuri hakiwezi kupita na kusifiwa bila kubezwa.....! Asante ankal kwa picha kama hizo. Endeleeni kutufahamisha. Kwani wewe mdau wa juu unadhani hata New York hawana maeneo yao ya hovyo? Au UK? Lakini siku zote tunaletewa mazuri. Na wao wakionyesha ya kwetu wanaonyesha mabaya tu. Nadhani umefika wakati juhudi kama hizi wanazofanya akina Michuzi na wenzake za kuonyesha maendeleo yetu zipewe kipau mbele. Thanks Ankal.
ReplyDeleteKwa kweli ni taswira nzuri, kumbe maendeleo yapo.
ReplyDeleteHiyo ni Jakaya Kikwete Land 'nchi ya Pasipoti Moja' nchi ya 'Jembe na Nyundo'!
ReplyDeleteMsisikilize na kuzingatia maneno na Kejeli za watu kama Kundi la Katiba la Ukawa.
Njooni wenyewe muone mambo.
Karibuni Wageni mtutembelee!
Si mchezo Tanzania inatisha kama Radi!
ReplyDelete