Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 05, 2014

    Haya sasa siku zijazo utuletee taswira ya jiji kwa kutokea nchi kavu na hasa maeneo ya buguruni, kigogo, manzese,tandale , msasani, vingunguti,kawe,mwananyala....japo kwa uchache ili tuweze kufanya tahmini ............na hatimae kuweza kuweka nguvu ktk lile suala letu la raia pacha......hahahahahaha....duh hapa nimegusa nyonga maana tushaanza kusahau.....umepita ukimya kidogo.....

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 06, 2014

    Wabongo bwana....! Kizuri hakiwezi kupita na kusifiwa bila kubezwa.....! Asante ankal kwa picha kama hizo. Endeleeni kutufahamisha. Kwani wewe mdau wa juu unadhani hata New York hawana maeneo yao ya hovyo? Au UK? Lakini siku zote tunaletewa mazuri. Na wao wakionyesha ya kwetu wanaonyesha mabaya tu. Nadhani umefika wakati juhudi kama hizi wanazofanya akina Michuzi na wenzake za kuonyesha maendeleo yetu zipewe kipau mbele. Thanks Ankal.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 06, 2014

    Kwa kweli ni taswira nzuri, kumbe maendeleo yapo.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 08, 2014

    Hiyo ni Jakaya Kikwete Land 'nchi ya Pasipoti Moja' nchi ya 'Jembe na Nyundo'!

    Msisikilize na kuzingatia maneno na Kejeli za watu kama Kundi la Katiba la Ukawa.

    Njooni wenyewe muone mambo.

    Karibuni Wageni mtutembelee!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 08, 2014

    Si mchezo Tanzania inatisha kama Radi!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...