Mjumbe wa wabunge wanaoshiriki Semina ya 25 ya Wabunge kutoka Mabunge wananchama wa Jumuiya ya Madola (CPA) ambaye pia ni Mjumbe wa Baraza la Wawakilishia Mhe. Zahara Ali Hama akichota maji kutoka kisima cha kale cha maajabu kwenye msikiti wa Kale wa Kaole wakati wa ziara ya kutembelea vivutia vya utalii, Bagamoyo Mkoa wa Pwani jana.
Wabunge wanaoshiriki Semina ya 25 ya Wabunge kutoka Mabunge wananchama wa Jumuiya ya Madola (CPA) wakitembelea makabuli ya kaole wakati wa ziara ya kutembelea vivutia vya utalii, Bagamoyo Mkoa wa Pwani jana.
Wabunge wanaoshiriki Semina ya 25 ya Wabunge kutoka Mabunge wananchama wa Jumuiya ya Madola (CPA) wakitembea mbele ya makabuli ya kaole wakati wa ziara ya kutembelea vivutia vya utalii, Bagamoyo Mkoa wa Pwani jana.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...