Home
Unlabelled
Dkt Liky Abdallah na vibweka vya wa-Brazil wanaopinga Kombe la dunia kufanyika kwao
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wapinzani Dunia nzima wana akili mbovu za kufanana, tazameni hawa Wabrazil walivyo choka, walivyo na madaraja ya kimaisha aliye kuwa tajiri ni tajiri na masikini ni masikini, ingebidi washukuru Kombe kufanyikia kwao ili wajikwamue kutoka kwenye Uchumi wa Unga na kuingia ktk Uchumi halisi badala yake wanapinga Mashindano!
ReplyDeleteMtazamo wao nadhani hata kama Fifa wangepanga Mashindano yaje Tanzania sio ajabu tungewaona Wapinzani mitaani!
We Anony hapo juu acha ya WaBrazil wayatatue wao, sisi tuangalie mpira, na tuombe vurugu zisiingie uwanjani! Hasira zako na wapinzani ziishie kwenye siasa.
ReplyDeleteAnony wa Pili wewe na Wapinzani wa hapa Tanzania ndio wa kujifunza kutoka Brazil, ilibidi Brazili watatue matatizo yao wenyewe na sio kuitumia Fifa kama Jukwaa la kufikishia matashi yao ya Kisiasa..
ReplyDeleteInaonyesha wewe ni Mpinzani hapa Tanzania upo ktk Kundi la wale wale!