Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 16, 2014

    Wapinzani Dunia nzima wana akili mbovu za kufanana, tazameni hawa Wabrazil walivyo choka, walivyo na madaraja ya kimaisha aliye kuwa tajiri ni tajiri na masikini ni masikini, ingebidi washukuru Kombe kufanyikia kwao ili wajikwamue kutoka kwenye Uchumi wa Unga na kuingia ktk Uchumi halisi badala yake wanapinga Mashindano!

    Mtazamo wao nadhani hata kama Fifa wangepanga Mashindano yaje Tanzania sio ajabu tungewaona Wapinzani mitaani!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 16, 2014

    We Anony hapo juu acha ya WaBrazil wayatatue wao, sisi tuangalie mpira, na tuombe vurugu zisiingie uwanjani! Hasira zako na wapinzani ziishie kwenye siasa.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 17, 2014

    Anony wa Pili wewe na Wapinzani wa hapa Tanzania ndio wa kujifunza kutoka Brazil, ilibidi Brazili watatue matatizo yao wenyewe na sio kuitumia Fifa kama Jukwaa la kufikishia matashi yao ya Kisiasa..

    Inaonyesha wewe ni Mpinzani hapa Tanzania upo ktk Kundi la wale wale!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...