Home
Unlabelled
kutoka maktaba: basi la uda miaka ya 1980
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ankali hii ilikuwa nyuma ya mwaka 1980, nakumbuka mwaka 1976 nikiwa mdogo ama nyuma ya mwaka 80 rangi ya Mabasi ya UDA ilikuwa ni njano ya kupauka na kuanzia mwaka 1980 ikawa Njano iliyo kolea zaidi.
ReplyDeleteHapa kwa aina hii ya mabasi ya umbo la Leyland 'mkate' Albion ilikuwa nyuma ya 1980 rangi za UDA zilikuwa njano ya kupauka, nakumbuka mwaka 1976 kurudi chini.
ReplyDeleteKuanzia miaka 1980 ikwa njano ya kukolea zaidi.
Hapo ndani ya basi kila BRAZAMENI (Bitozi) lazima amevaa viatu vya Raizoni!
ReplyDeleteEbwana umenikumbusha mbele kwa dereva. Kumeandikwa endesha kwa uangarifu gariimegharimu shs 500000.taa ya oil ikiwaka paki gari pembeni
ReplyDeleteAsante kwa kumbukumbu hii! Na koda alikuwa ana machine ya kukatia ticket yenye uzito wa 3kg! Na dala dala ya kigogo ilikuwa wembe ule ule!
ReplyDeleteDah......nakumbuka jina la baadhi ya vituo pale karikoo japo wakati huo nilikua nashikwa mkono au kubebwa wakati mwengine......1.Shaurimoyo 2.Kwa chaurembo.......dah hapo natoka kwetu kisiju kumtembelea babu, nikiwa na mama na dada zangu.....
ReplyDelete