Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 07, 2014

    Ankali hii ilikuwa nyuma ya mwaka 1980, nakumbuka mwaka 1976 nikiwa mdogo ama nyuma ya mwaka 80 rangi ya Mabasi ya UDA ilikuwa ni njano ya kupauka na kuanzia mwaka 1980 ikawa Njano iliyo kolea zaidi.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 07, 2014

    Hapa kwa aina hii ya mabasi ya umbo la Leyland 'mkate' Albion ilikuwa nyuma ya 1980 rangi za UDA zilikuwa njano ya kupauka, nakumbuka mwaka 1976 kurudi chini.

    Kuanzia miaka 1980 ikwa njano ya kukolea zaidi.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 07, 2014

    Hapo ndani ya basi kila BRAZAMENI (Bitozi) lazima amevaa viatu vya Raizoni!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 07, 2014

    Ebwana umenikumbusha mbele kwa dereva. Kumeandikwa endesha kwa uangarifu gariimegharimu shs 500000.taa ya oil ikiwaka paki gari pembeni

    ReplyDelete
  5. Asante kwa kumbukumbu hii! Na koda alikuwa ana machine ya kukatia ticket yenye uzito wa 3kg! Na dala dala ya kigogo ilikuwa wembe ule ule!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 08, 2014

    Dah......nakumbuka jina la baadhi ya vituo pale karikoo japo wakati huo nilikua nashikwa mkono au kubebwa wakati mwengine......1.Shaurimoyo 2.Kwa chaurembo.......dah hapo natoka kwetu kisiju kumtembelea babu, nikiwa na mama na dada zangu.....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...