Home
Unlabelled
menyu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hiyo menyu kiboko!!!
ReplyDeleteTuko Monduli baba
ReplyDeleteHapo itakuwa ni kwa watani hapo. Kwa taarifa yenu kwenye menu kuna:
ReplyDeleteChapati, Gidheri (wao wanaandika Githeri lakini wanatamka Gidheri), Sukumawiki, Ugali, Juisi, Supu, Sambusa, Mayai, Chipsi na Masigwa rara.
Hapo kwenye Masigwa rara na mimi naomba msaada wenu.
ni kabila ghani hii aliyoandika hii menu
ReplyDeletehiyo menyu ukutane na aneyua kutamka unaweza hata ukaghaili kuagiza
ReplyDeleteHii 'Menyu' nna hakika ni ya jirani zetu hapo karibu. Nadhani huyo muandishi atakuwa ana tatizo la utamkwaji wa baadhi ya herufi katika baadhi ya maneno ya kiswahili, I think ni kutokana na kuwa affected na 'Mother tongue' yao. Hata hivyo 'Menyu' imeeleweka kwa wateja.
ReplyDeleteChabati-Chapati
Geteri- Githeri (Makande type of food)
Suguma- Sukuma wiki
Ukari-Ugali
Chuisi- Juice
Subu- Supu
Masigwa Rara-Mtindi
Zambusa-Sambusa
Mayaye-Mayai
Chibusi- Chipsi
Hiki Kiswahili cha wapi jamani. Penye p nana b ? Chibusi ndiyo chips!
ReplyDeleteNdo mambo ya Lugha gongana hayo. Nilenda Malawi nikawa natamka jina Phiri - "Fili", wenyeji wakavumilia baadaye wakanieleza kuwa ni "Pili" na hilo jingine lina maana tofauti kabisa na siyo nzuri
ReplyDeleteObserver
masigwa rara=maziwa ya mtindi
ReplyDeleteHao ni Wachikuyu.
ReplyDeletelakini SUBU hata wachaga; ukari hata Wameru.
Hayo ni matamshi ya kabila fulani huko kwa kina "jirani", matamshi hayo ni matokeo ya athari za lugha yao ya kikabila, na ameandika kama anavyo tamka.Hatariiiii
ReplyDeleteHawa ni wakikuyu toka nchi jirani kwa dogo Kenyatta.
ReplyDelete