Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 11, 2014

    Hiyo menyu kiboko!!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 11, 2014

    Tuko Monduli baba

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 11, 2014

    Hapo itakuwa ni kwa watani hapo. Kwa taarifa yenu kwenye menu kuna:

    Chapati, Gidheri (wao wanaandika Githeri lakini wanatamka Gidheri), Sukumawiki, Ugali, Juisi, Supu, Sambusa, Mayai, Chipsi na Masigwa rara.

    Hapo kwenye Masigwa rara na mimi naomba msaada wenu.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 12, 2014

    ni kabila ghani hii aliyoandika hii menu

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 12, 2014

    hiyo menyu ukutane na aneyua kutamka unaweza hata ukaghaili kuagiza

    ReplyDelete
  6. Hii 'Menyu' nna hakika ni ya jirani zetu hapo karibu. Nadhani huyo muandishi atakuwa ana tatizo la utamkwaji wa baadhi ya herufi katika baadhi ya maneno ya kiswahili, I think ni kutokana na kuwa affected na 'Mother tongue' yao. Hata hivyo 'Menyu' imeeleweka kwa wateja.

    Chabati-Chapati
    Geteri- Githeri (Makande type of food)
    Suguma- Sukuma wiki
    Ukari-Ugali
    Chuisi- Juice
    Subu- Supu
    Masigwa Rara-Mtindi
    Zambusa-Sambusa
    Mayaye-Mayai
    Chibusi- Chipsi

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 12, 2014

    Hiki Kiswahili cha wapi jamani. Penye p nana b ? Chibusi ndiyo chips!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 12, 2014

    Ndo mambo ya Lugha gongana hayo. Nilenda Malawi nikawa natamka jina Phiri - "Fili", wenyeji wakavumilia baadaye wakanieleza kuwa ni "Pili" na hilo jingine lina maana tofauti kabisa na siyo nzuri

    Observer

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 12, 2014

    masigwa rara=maziwa ya mtindi

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 12, 2014

    Hao ni Wachikuyu.

    lakini SUBU hata wachaga; ukari hata Wameru.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 12, 2014

    Hayo ni matamshi ya kabila fulani huko kwa kina "jirani", matamshi hayo ni matokeo ya athari za lugha yao ya kikabila, na ameandika kama anavyo tamka.Hatariiiii

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 12, 2014

    Hawa ni wakikuyu toka nchi jirani kwa dogo Kenyatta.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...