Hiki ni kipindi kingine tena kitachokujia hivi punde kupitia MICHUZI TV, kama ulivyoambiwa hapo. Usikonde. Show hii na nyingine nyingi za kusisimua utazipata kirahisi sana kiasi utashangaa. Kaa chonjo, mboga ipo jikoni - karibu itaiva. We kaa mkao wa kula tu...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 02, 2014

    Aaaaaah! Kepteeeeeeeiiiin! Tumekumissi sana Keptein G Habash! Naona Michuzi anataka kututia uchizi. Huku Dr Licky huku wewe... he! Balaa. Hongera ankal kwa ubunifu! Je tutaonaga wapi hahya majambozzzz???

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 02, 2014

    Vipi ina maana Ankal anaanzisha kituo cha luninga? Au sijaelewa vizuri?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 02, 2014

    keep it up uncle na sie walala hoi tujivunie tv ya mpiganaji mwenzetu

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 03, 2014

    Ndio mdau hapo juu, Ankal anaanzisha kituo cha luninga kinaitwa "Michuzi TV"

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...