Uchunguzi umeanza asubuhi hiikujua chanzo cha kuzuka kwa moto karibu na hostel za wasichana katika skuli ya sanaa na lugha (School of Humanities) katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) usiku wa kuamkia leo. Athari za moto huo bado hazijajulikana. 
Wakaazi wa mji huo walisikia vingo'ra vya magari ya zimamoto yakielekea chuoni huko kwa kasi, na miali mikubwa ya moto kuonekana katika vilima vya Chimwaga kipo chuo hicho usiku wa manane. Taarifa zaidi tutapeana kadiri zitavyotufikia
Wanafunzi wakirekodi tukio hilo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 21, 2014

    badala ya kusaidia kuokoa kinachowezekana, wanakomaa kurekodi tukio, hao ndioyo wasomi wa bongo

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 21, 2014

    hii tabia imekithiri sana bongo yetu watu badala ya kutoa msaada baada ya majanga wanakimbilia kupiga picha tu na kushare mitandaoni.jirekebisheni vijana

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 22, 2014

    Kwani fire extinguisher zipo?, na zimamoto wako wapi mpaka muweke vijana wetu kwenye kuzima moto..Hiki chuo kipya sana tuombe tusiingie hasara ya kukijenga tena. Kiusalama afadhali tu wapige picha huu siyo moto wa kuzima kwa ndoo za maji au mchanga ni moto mkubwa.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 22, 2014

    Ashukuriwe mungu coz students were ok, na it was hard time kwao coz they'r in final exams (UE)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...