Home
Unlabelled
Seli imesitishwa baada ya zogo hadi ffu kuitwa shoprite mlimani city
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huku kupenda bei che. kunaweza kugharimu maisha ya mtu. maisha haya bwana.
ReplyDeleteRoho ya Kimaskini Zinatia aibu sana! Watu mpaka wanapoteza utu wakati pesa wanazo za kutosha kabisa! Tatizo ni Poverty mindset.
ReplyDeleteIt ie not about bei chee au kutia aibu. Punguzo la 50% maana yake mteja anapata savings kwenye manunuzi sawa na punguzo hilo.
ReplyDeleteNawashauri wanunuzi wafanye manunuzi yao kila inapotokea seli ili kuchukua fursa hiyo msione aibu.
Wafanyibiashara wao wanataka faida zaidi kutoka kwenye mauzo, mbona hawaoni aibu?
Wanunuzi wanataka savings kutoka kwenye manunuzi, hivyo wasione aibu.
Ni kweli hata Michele Obama amekiri kununua baadhi ya mahitahi yake kwenye sale. Sale si kitu cha aibu kabisa, tatizo ni tumekosa kuvumiliana. Unakuja unakuta wenzio wamefika kabla yako lakini unataka uingie na kutoka kabla yao. Hapa ndipo aibu inapolalia kwani ni ukosefu mkubwa wa usataarabu. Huna nafasi ya kusubiri kubali kuwa haikuwa bahati yako labda safari ijayo.
ReplyDelete