Kutakuwa na Mkutano wa Sera za Mkombea wa Jumuiya ya waTanzania DMV
Bwna Liberatus Mwang'ombe
Atakachoongea katika mkutano wake ni
 Kuhusu Elimun Diversity visa Lotterry/ YOUNG African Leaders Initiatives
Jumiaya na Afya, Baraza la ushauri, Darasa la Kiswahili. Ushirikiano na umoja, Jumuiya na wajasiriamali, Jumuia na vyanzo vya mapato, Jumuiya na mrejesho wa ubalozi, "Power of attorney" , Mkutano huo utafanyika Siku ya Jumamosi, June 28, 2014  kuanzia saa 10 Alasiri (4pm) Meadowbrook Park
7901 Meadowbrook Lane
Chevy Chase, MD 20815 Kutakua na vinywaji pamoja na uchomaji wanyama choma Nyote Mnakaribishwa **********

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 25, 2014

    Libe upo juu na mwaka huu lazima umshinde dk lemmy ongala. .dmv oyeeeeeh!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 25, 2014

    Liberatus, napenda confidence yako. Wewe ni kiongozi

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 25, 2014

    Libe, you deserve it, no question.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 25, 2014

    Ni democracy inayokuweka hapo, ila ndugu huna jipya na ideas zako ni unrealistic,miaka yote umekuwa mstari mbele kupinga jumuiya, na chadema umeiua unataka kutu-ulia na jumuiya yetu?

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 25, 2014

    Libe kasome vizuri IRS TAX CODE 503(C) DO NOT MISLEAD WATU. SUCCESS PEOPLE MAKE THINGS HAPPEN AND LOSER LET IT HAPPEN......YOU LET IT HAPPEN
    CHADEMA KUFA@ DMV.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 25, 2014

    Jumuiya sio siasa, itikadi zako haziendani na malengo ya jumuiya, huna sense ya ubinadamu kwani wewe humuamini Mwenyezi Mungu, wana DMV ni wacha Mungu wa pande zote,Huoni una ji changanya kwa kutaka kuwaongza wenye Imani zao?

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 26, 2014

    Nyie TAMCO acheni ufala huu si uchaguzi wa shehe Wala askofu keep your imani to yourself and no one cares. Dmv let's do this. ..vote for Libe and not lemmy ongala

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 26, 2014

    TAMCO ndio nini?

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 26, 2014

    Asiye mwamini mwenyezi Mungu atajumuika vipi kwenye matatizo yenu yanayo husisha Imani za watu, wakristo kwa wa islam? hana sense yaki binaadamu.hatokei kwenye misiba kwakuwa hamuamini mwenyezi Mungu.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 28, 2014

    Iddy Sandaly ndiyo Mgombea Uraisi Makini ktk Uchaguzi DMV.!!!

    Kwanza wengine kama wewe Mwang'ombe ni Chadema hutatoa ushirikiano kwa Ubalozi wa Tanzania na Serikali hatukutaki!

    Wagombea wapya mmeona kuwa Raisi DMV kunapelekea kuwa ktk Misafara ya Serikali ya Tanzania na Ubalozi hivyo mnagombea kwa tamaa ya madaraka na sio utendaji kama anavyo cahapa kazi Iddy Sandaly anaye shirikiana vizuri na Serikali!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...