Kutakuwa na Mkutano wa Sera za Mkombea wa Jumuiya ya waTanzania DMV
Bwna Liberatus Mwang'ombe
Atakachoongea katika mkutano wake ni
Kuhusu Elimun Diversity visa Lotterry/ YOUNG African Leaders Initiatives
Jumiaya na Afya, Baraza la ushauri, Darasa la Kiswahili.
Ushirikiano na umoja, Jumuiya na wajasiriamali, Jumuia na vyanzo vya mapato,
Jumuiya na mrejesho wa ubalozi, "Power of attorney" ,
Mkutano huo utafanyika Siku ya Jumamosi, June 28, 2014
kuanzia saa 10 Alasiri (4pm)
Meadowbrook Park
7901 Meadowbrook Lane
Chevy Chase, MD 20815
Kutakua na vinywaji pamoja na uchomaji wanyama choma
Nyote Mnakaribishwa
**********
Libe upo juu na mwaka huu lazima umshinde dk lemmy ongala. .dmv oyeeeeeh!
ReplyDeleteLiberatus, napenda confidence yako. Wewe ni kiongozi
ReplyDeleteLibe, you deserve it, no question.
ReplyDeleteNi democracy inayokuweka hapo, ila ndugu huna jipya na ideas zako ni unrealistic,miaka yote umekuwa mstari mbele kupinga jumuiya, na chadema umeiua unataka kutu-ulia na jumuiya yetu?
ReplyDeleteLibe kasome vizuri IRS TAX CODE 503(C) DO NOT MISLEAD WATU. SUCCESS PEOPLE MAKE THINGS HAPPEN AND LOSER LET IT HAPPEN......YOU LET IT HAPPEN
ReplyDeleteCHADEMA KUFA@ DMV.
Jumuiya sio siasa, itikadi zako haziendani na malengo ya jumuiya, huna sense ya ubinadamu kwani wewe humuamini Mwenyezi Mungu, wana DMV ni wacha Mungu wa pande zote,Huoni una ji changanya kwa kutaka kuwaongza wenye Imani zao?
ReplyDeleteNyie TAMCO acheni ufala huu si uchaguzi wa shehe Wala askofu keep your imani to yourself and no one cares. Dmv let's do this. ..vote for Libe and not lemmy ongala
ReplyDeleteTAMCO ndio nini?
ReplyDeleteAsiye mwamini mwenyezi Mungu atajumuika vipi kwenye matatizo yenu yanayo husisha Imani za watu, wakristo kwa wa islam? hana sense yaki binaadamu.hatokei kwenye misiba kwakuwa hamuamini mwenyezi Mungu.
ReplyDeleteIddy Sandaly ndiyo Mgombea Uraisi Makini ktk Uchaguzi DMV.!!!
ReplyDeleteKwanza wengine kama wewe Mwang'ombe ni Chadema hutatoa ushirikiano kwa Ubalozi wa Tanzania na Serikali hatukutaki!
Wagombea wapya mmeona kuwa Raisi DMV kunapelekea kuwa ktk Misafara ya Serikali ya Tanzania na Ubalozi hivyo mnagombea kwa tamaa ya madaraka na sio utendaji kama anavyo cahapa kazi Iddy Sandaly anaye shirikiana vizuri na Serikali!!!