sheria Diamond
Diamond Platinumz with  Wema Sepetu.
Being nominated in an internationally recognized Music Awards worldwide, is a sign of hardworking and thirst to achieve more. You are really flying our Tanzanian flag globally and in the same vein paved the way for international attention indeed. Congratulations Diamond Platinumz, you have set a Benchmark. Keep up the good work.
Deogracious Kessy- Head of Marketing
#Sheria Ngowi Brand#

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 08, 2014

    Who is diamond,?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 08, 2014

    Is this supposed to make a news?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 08, 2014

    Who is Diamond? Is this supposed to make news? Good questions - especially from doomsayers (typical Tanzanian ROHO YA KWA NINI) like you two up there!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 08, 2014

    Anonymous wa pili tafadhali jifunze Kiingereza vizuri au wasilisha hoja kwa lugha unayoifahamu badala ya kuchafua lugha za watu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. AnonymousJune 09, 2014

      Hiyo ni American English .mmezoea heavy accent poleni

      Delete
  5. AnonymousJune 08, 2014

    Acha nao hao jamaa....hawajui kama burudani ni moja ya tasnia zinazotangaza nchi kimataifa.... Diamond anajitahidi sana.

    Big up....kila la kheri, tunatumai kukuona pia ktk BET Awards!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 08, 2014

    Pongezi kwa Diamond na Tanzania!!!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 08, 2014

    Am proud of Sheria Ngowi and Diamond. Hao hapo juu ni watu wasioelewa wanaongea nini. Eti who is Diamond?

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 08, 2014

    hahahaaaaa... Ankal we mchokozi. Yaani umewajibu hao wanoko hapo juu kiana...haaaaaahahahaaa. waseme sasa "ho is diamond" na eti "Is this supposed to make a news?" sema sasa wewe wa kiinglishi chako cha ugokoni. Nyoooo... HABARI NDIO HIO, ukiona vipi kula chupa ufwe

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 09, 2014

    Yani watanzania bado tupo nyima Sana,yani sijui Ni wivu sijui akili imejaa matope? Unashindwa kuwa mzalendo? Unafikiri pale anasimama diamond? Au inasimama bendera nchi yetu? Ulitaka diamond awe daktari au mwalimu au mbunge ndo umtambue? Au ulitaka awe fisadi? Kwani news manake nini? Wote tukikaa maofisini na wengine tukawa wamachinga ndo raha yako? Jifunze kufanya analysis wewe na ajira sio ya kusubiri mwisho WA mwezi Ni Kula kazi inayokupa kipato halali. Na sector ya entertainment Ni sekta halali km zilivyo secta za uchumi,na siasa. Km humjui Diamond go and hug the nearest transforms.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 09, 2014

    The anonymous up there trying to correct my English should go back to kindergarten and learn some,seems you r clueless and bashing my English just makes u look dump

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...