Diamond Platinumz with Wema Sepetu.
Being nominated in an internationally recognized Music Awards worldwide, is a sign of hardworking and thirst to achieve more. You are really flying our Tanzanian flag globally and in the same vein paved the way for international attention indeed. Congratulations Diamond Platinumz, you have set a Benchmark. Keep up the good work.
Deogracious Kessy- Head of Marketing
Who is diamond,?
ReplyDeleteIs this supposed to make a news?
ReplyDeleteWho is Diamond? Is this supposed to make news? Good questions - especially from doomsayers (typical Tanzanian ROHO YA KWA NINI) like you two up there!
ReplyDeleteAnonymous wa pili tafadhali jifunze Kiingereza vizuri au wasilisha hoja kwa lugha unayoifahamu badala ya kuchafua lugha za watu.
ReplyDeleteHiyo ni American English .mmezoea heavy accent poleni
DeleteAcha nao hao jamaa....hawajui kama burudani ni moja ya tasnia zinazotangaza nchi kimataifa.... Diamond anajitahidi sana.
ReplyDeleteBig up....kila la kheri, tunatumai kukuona pia ktk BET Awards!
Pongezi kwa Diamond na Tanzania!!!
ReplyDeleteAm proud of Sheria Ngowi and Diamond. Hao hapo juu ni watu wasioelewa wanaongea nini. Eti who is Diamond?
ReplyDeletehahahaaaaa... Ankal we mchokozi. Yaani umewajibu hao wanoko hapo juu kiana...haaaaaahahahaaa. waseme sasa "ho is diamond" na eti "Is this supposed to make a news?" sema sasa wewe wa kiinglishi chako cha ugokoni. Nyoooo... HABARI NDIO HIO, ukiona vipi kula chupa ufwe
ReplyDeleteYani watanzania bado tupo nyima Sana,yani sijui Ni wivu sijui akili imejaa matope? Unashindwa kuwa mzalendo? Unafikiri pale anasimama diamond? Au inasimama bendera nchi yetu? Ulitaka diamond awe daktari au mwalimu au mbunge ndo umtambue? Au ulitaka awe fisadi? Kwani news manake nini? Wote tukikaa maofisini na wengine tukawa wamachinga ndo raha yako? Jifunze kufanya analysis wewe na ajira sio ya kusubiri mwisho WA mwezi Ni Kula kazi inayokupa kipato halali. Na sector ya entertainment Ni sekta halali km zilivyo secta za uchumi,na siasa. Km humjui Diamond go and hug the nearest transforms.
ReplyDeleteThe anonymous up there trying to correct my English should go back to kindergarten and learn some,seems you r clueless and bashing my English just makes u look dump
ReplyDelete