Muziki wa dansi wa Tanzania umezidi kufungua ukurusa mpya katka tufe la dunia, baada ya wasanii na wanamuziki wa Tanzania kutumbuiza katika onyesho la TFF Rudolstadt 2014,yaliofanyika kuanzia tarehe 3 adi 6 Julai 2014 mjini Rudolstadt,Ujerumani,ambako vikundi mbali mbali vya sanaa na bendi za muziki kutoka Tanzania zilishiriki,zikiwemo bendi ya Black Warriors ikiwashirikisha jukwaani na wakongwe wa muziki akina Mafumu Bilal,Hassan Bichuka,Cosmas Chidumule na wengine,pia Mchiriku ulikuwapo,bila kukosa Kikundi cha ngoma ya Kaya Baikoko kutoka mkoani Tanga, kikundi cha Qwasida " Tarbiyya Islamiyya" kutoka Zanzibar, Kikundi cha kinamama cha Ngoma za Wagogo kutoka Dodoma, Mambo moto moto band na Segere lao walikuwapo hayo yote yalikuwa mjini Rudolstad, nchini Ujerumani nchi ambayo ndipo makao makuu ya "FFU-Ughaibuni"
 Kikundi cha ngoma za asili kutoka Tanzania kikiendelea kutoa burudani katika Tamasha hilo la TFF Rudolstadt 2014,nchini Ujerumani.
Wazee wa Ngoma Baokoko.
Mafumu Bilal Mubenga akifanya yake jukwaani.
Hassan Bichuka na Cosmas Chidumule wakiongoza jukwaa katika Tamasha la TFF Rudolstadt 2014,nchini Ujerumani.
Nyomi la nguvu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 08, 2014

    Safi sana Tanzania.
    Uncle hao jamaa tutawapata vipi, waje na huku Nürnberg(Germany) kutumbuiza Tansania Festival tarehe 02 August 2014. Wawasiliane na mimi kwa Email ifuatayo: mulawao@yahoo.co.uk

    Mdau,
    Erick- Nürnberg.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...