Meneja
wa Biashara Kubwa na Uwekezaji wa kibenki wa Benki ya Exim Tanzania, Bw. Justin
Wambali (Kushoto) akiwaelezea wateja watarajiwa juu ya huduma zitolewazo na
benki hiyo walipotembelea banda la benki hiyo katika Maonyesho ya Biashara ya
Kimataifa Jijini Dar es Salaam ya Saba Saba. Wapili kushoto ni Afisa Mauzo,
Irene Joachim na Afisa Uhusiano, Cosmas Nade (watatu kushoto).
Meneja
wa Biashara Kubwa na Uwekezaji wa kibenki wa Benki ya Exim Tanzania, Bw. Justin
Wambali (Kushoto) akimpa maelezo mtoto, akiwa kama mmoja kati ya wateja
watarajiwa juu ya huduma zitolewazo na benki hiyo walipotembelea banda la benki
hiyo katika Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa Jijini Dar es Salaam ya Saba
Saba. Wapili kushoto ni Afisa Mauzo, Irene Joachim na Afisa Uhusiano, Cosmas
Nade (watatu kushoto)
Afisa
Uhusiano wa Benki ya Exim Tanzania, Bw. Cosmas Nade akisambaza vipeperushi
vyenye maelezo ya huduma mbali mbali zitolewazo na benki hiyo kwa wanafunzi
waliopita katika banda la benki hiyo wakati wa maonyesho ya 38 ya biashara ya
kimataifa jijini Dar es Salaam ya Saba Saba mwishoni mwa wiki
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...