Mkuu wa Kitengo cha Oparesheni wa Benki ya Exim Tanzania Bw.
Eugen Massawe (kushoto) akikabidhi moja ya tuzo zinazotolewa kila mwaka na
AIESEC kwa Rais wa Chuo cha Uongozi wa Fedha (IFM) Bw. Abubakar Ahmed (kulia)
wakati hafla ya kila mwaka ya wadau wa taasisi ya wanafunzi ya AIESEC
iliyofanyika jijini mwishoni mwa wiki.
Mkuu wa Kitengo cha Oparesheni wa Benki ya Exim Tanzania Bw.
Eugen Massawe (kushoto) na Mkuu wa Kitengo cha Majanga na Udhibiti wa Benki
hiyo Bw. David Lusala (kulia) katika picha ya pamoja wakati hafla ya kila mwaka
ya wadau wa taasisi ya wanafunzi ya AIESEC iliyofanyika jijini mwishoni mwa
wiki
Mkuu wa Kitengo cha Oparesheni wa Benki ya Exim Tanzania Bw.
Eugen Massawe (kushoto) akikabidhi moja ya tuzo zinazotolewa kila mwaka na
AIESEC kwa Rais wa Chuo cha Uongozi wa Fedha (IFM) Bw. Abubakar Ahmed (kulia)
wakati hafla ya kila mwaka ya wadau wa taasisi ya wanafunzi ya AIESEC
iliyofanyika jijini mwishoni mwa wiki. Wakishuhudia ni wanafunzi wa chuo cha
IFM, Hafifa Bahfif (katikati), Said Yusuf (wapili kulia) na Erick Justice (wa
kwanza kulia).
Kuna mtu anajificha picha ya kwanza na ya tatu, sijui kwanini?
ReplyDelete