VITABU VIMEZINDULIWA ZANZIBAR TAREHE 14.7.2014. NI VITABU VYAKE VYA KWANZA KUVITUNGA,KITABU CHA "MAMU NA MUNA" (KWA WATOTO) NA "MBONA KINYUME" (KWA WATU WAZIMA). MTUNZI NI BI. MWANAMKAA ABDULRAHAMAN AMBAYE NI MWANASHERIA NA MRAJIS WA ARDHI ZANZIBAR
Mwalimu mkuu chuo cha kiislamu Zanzibar shekh Muhidin Ahmed ambae ni mgeni rasmi akizindua vitabu hivyo
Bi. Mwanamkaa Abdulrahman akielezea muhtasari kuhusu vitabu vyake
Mwalimu mkuu chuo cha kiislamu Zanzibar shekh Muhidin Ahmed akisifia vitabu hivyo
Wananchi wakinunuwa vitabu hivyo.
Mashaa Allah my sister! Allah barik its a big achievement, am proud of you!Safia
ReplyDelete