Mimi Reppyson Ishababaki na mke wangu Elida Fundi. Tunapenda kutoa taarifa ya kupotea kwa mtoto wetu kipenzi Meryline Reppyson. Ameibiwa jana jioni na mtu tusiyemfahamu na hatujampata mpaka sasa hivi.

 Tunawaomba Watanzania na watu wote mtusaidie kumtafuta mtoto wetu. Maneno yanayosemwa kwamba kachukuliwa na baba yake si ya kweli kwani mimi ndiye baba yake mzazi na tunaishi pamoja na mke wangu. 

Asanteni sana kwa msaada wenu na Mungu awabariki.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 16, 2014

    Poleni, ila Ankal waombe watoa taarifa waongeze data

    Kitongoji cha Wapi?, mji gani?, wilaya gani? , nchi gani? , siku gani alipotea?

    ReplyDelete
  2. Helo mbona nasikia kachuliwa na baba yake?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 16, 2014

    poleni.atapatkana
    ktka jina la yesu.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 16, 2014

    Poleni sana wazazi. Kuna uvumi instagram kua mtoto mmempata, kama ni kweli please update us otherwise Mwenyezi Mungu amlinde mtoto na awe kwenye mikono salama hadi atakapopatikana.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 16, 2014

    mtoa maoni wa pili, umesoma maelezo kabla ya kutuma maoni yako? jamani watu wengine!!!!!!!!

    ReplyDelete
  6. Bwana yesu simama sehemu yoyote aliko mtoto huyo. Fanya miujiza aliyemchukua amrudishe mwenyewe. Najua Yesu Unaweza.Amen.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 17, 2014

    Alikuwa wapi/na nani mara ya mwisho?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...