Zaidi ya watu wawili wanadhaniwa kupoteza maisha baada ya kufunikwa na kifusi wakati wakiendelea na shughuli za uchimbaji wa miamba kwa ajili ya uchongaji wa tofari.
Tayari mpaka sasa mwili wa mtu mmoja aliyefahamika kwa jina Bless Adrian, mkazi wa kijiji cha Nganjoni wilaya ya Moshi vijijini mkoani Kilimanjaro.
Juhudi za kutafuta miili mingine inaendelea licha ya kukabiliwa na changamoto ya zana za kufukulia kifusi.
Home
Unlabelled
Breaking Nyuzzzz: WATU WAWILI WAHOFIWA KUPOTEZA MAISHA BAADA KUFUNIKWA NA KIFUSI MKOANI KILIMANJARO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Ukiangalia hii miamba ilivyookaa hii kazi ya kuchonga tofali inaonekana ina hatari.
ReplyDeleteHao wanaochimba kuwa tafuta wenzao pia wapo kwa Danger pia. kunatakiwa kuwa na watu wa zima moto wenye vifaa vya uokoaji. hii ni ubabaishaji tu na kuhatarisha maisha ya wengine.
ReplyDeleteNi kweli kabisa, picha ya mwanzo kabisa inaonesha uwezekano mkubwa wa hao waokozi nao kuangukiwa. Mwenyezi Mungu aepushe mbali ajali nyengine lakini na sisi tuwe waangalifu.
ReplyDeletemungu awalinde hao wenye moyo wa kuwatafuta wenzao waliofukiwa wacje wakafukiwa na wao.
ReplyDelete