Zaidi ya watu wawili wanadhaniwa kupoteza maisha baada ya kufunikwa na kifusi wakati wakiendelea na shughuli za uchimbaji wa miamba kwa ajili ya uchongaji wa tofari. Tayari mpaka sasa mwili wa mtu mmoja aliyefahamika kwa jina Bless Adrian, mkazi wa kijiji cha Nganjoni wilaya ya Moshi vijijini mkoani Kilimanjaro. Juhudi za kutafuta miili mingine inaendelea licha ya kukabiliwa na changamoto ya zana za kufukulia kifusi.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 14, 2014

    Ukiangalia hii miamba ilivyookaa hii kazi ya kuchonga tofali inaonekana ina hatari.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 14, 2014

    Hao wanaochimba kuwa tafuta wenzao pia wapo kwa Danger pia. kunatakiwa kuwa na watu wa zima moto wenye vifaa vya uokoaji. hii ni ubabaishaji tu na kuhatarisha maisha ya wengine.

    ReplyDelete
  3. Ni kweli kabisa, picha ya mwanzo kabisa inaonesha uwezekano mkubwa wa hao waokozi nao kuangukiwa. Mwenyezi Mungu aepushe mbali ajali nyengine lakini na sisi tuwe waangalifu.

    ReplyDelete
  4. mungu awalinde hao wenye moyo wa kuwatafuta wenzao waliofukiwa wacje wakafukiwa na wao.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...