Bi. Maznat Yusuph Sinare akieleza namna bidhaa na vipodozi mbalimbali vilivyokuwa na ubora wa kimataifa kwenye uzinduzi wa vipodozi vipya vya kampuni ya ORIFLAME kwenye ukumbi wa ukumbi wa Zanzibar katika Hotel ya Hyatt Regenc Kilimanjaro Hotel jijini Dar es salaam.
Kampuni ya Vipozi vya aina mbalimbali vya urembo OriFlame wamefanya maonesho ya Bidhaa zao Tarehe 2.07.2014 katika ukumbi wa Zanzibar katika Hotel ya Hyatt Regency(The Kilimanjaro Hotel).
Kampuni hiyo yenye wigo mpana wa kibiashara ambayo ina matawi zaidi ya nchi 20 duniani na pia Katika Mabara manne ya Duniani wametambulisha bidhaa zao mpya kwenye soko la Tanzania ambazo ni marashi ya kike na kiume pamoja na vipodozi mbalimbali,
Juu Pichani ni Maznat Yusuph Sinare kutoka saloon ya Maznat Bridal mtaalamu wa kuchanganya Vipodozi akimremba mwanadada Janeci Maluli ili kuonyesha aina tofauti za vipodozi vya Kampuni hiyo.
Maznat Yusuph Sinare akimpaka meck up mmoja wa warembo kwenye uzinduzi wa bidhaa mpya ya kampuni ya ORIFLAME
Mwanamitindo Annie Moses akiweka pozi la nguvu wakati akionesha Lipstick Ya kupaka mdomoni kwenye uzinduzi wa Bidhaa za kampuni ya ORIFLAME. Picha zaidi BOFYA HAPA
KATIBU MKUU MWENYE MKE MZURI KUSHINDA WOTE DUNIANI. HONGERA PROF. MCHOME
ReplyDelete